Update: Wasoma Chini ya Maji.

chini-ya-maji

Sometimes I look at my readers( stats) and nowadays I have so many Kenyan readers, only I only know two  who read my work, Cezane and Lucky.

Hao wengine wasoma chini ya maji bana. Hawajitokezi angalau waunge mkono au wapinge, wakatae abadan katan na maoni yangu. Lakini wako, wasoma. Ama ni kana kwamba bado sijaiva nikatokota kufikia kiwango cha kuwa mwandishi bora?  Lakini ningependa sana kuwajua hao wanaosoma, maanake na wajua wa nchi nyingine ilhali siwajui ninyi.

Enhe, Kiswahili ninacho, sinacho?

 

 

 

2 thoughts on “Update: Wasoma Chini ya Maji.

Add yours

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Blog at WordPress.com.

Up ↑

%d bloggers like this: